UONGOZI MPYA WA CHAWAKAMA.
Baadhi ya viongozi wapya wa CHAWAKAMA- CKDSM 2014/2015 wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Malcelino Dee(Mahazini Msaidizi), Mgata Visa(Katibu Mkuu), Athanas Barnaba(Mwenyekiti), Sarah Uvumbe(Makamu Mwenyekiti) na Joel Nkoma(Mhariri Mkuu)
No comments:
Post a Comment