Kurasa Muhimu

Sunday, November 23, 2014



GHARAMA NA MAELEKEZO MUHIMU.

AINA YA MLO
GHARAMA
SIKU YA KUWASILI
22/02/2015
CHAJIO
2500/=
SIKU YA KWANZA
23/02/2015
1 STAFTAHI
2 CHAMCHA
3 CHAJIO
1300/=
2500/=
2500/=
SIKU YA PILI
24/02/2015
1 STAFTAHI
2 CHAMCHA
3 CHAJIO
1300/=
2500/=
2500/=
SIKU YA TATU
25/02/2015
1 STAFTAHI
2 CHAMCHA
3 CHAJIO
1300/=
2500/=
2500/=
                          JUMLA YA GHARAMA YA CHAKULA NI SH. 21400/=

MALAZI, FULANA, VYETI, SAFARI NA UKUMBI
i.                     Malazi kwa siku ni sh. 900, siku zote nne ni sh. 3600/=
ii.                    Fulana kwa kila mshiriki ni sh. 15000/=
iii.                  Cheti kwa kila mshiriki ni sh. 5000/=
iv.                  Gharama ya ukumbi ni sh. 3000/=
v.                    Safari za ndani (Bagamoyo) 7000/=
JUMLA YA GHARAMA KWA KILA MJUMBE NI FEDHA ZA KITANZANIA SH. 55000/=
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
1.       FEDHA ZOTE ZIKUSANYWE NA VIONGOZI WA MATAWI NA ZITUMWE KWA NJIA YA BENKI KATIKA AKAUNTI YA CHAWAKAMA TAWI LA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
                     AKAUNTI NAMBA    0152396203500 CRDB
                      JINA LA AKAUNTI    CHAWAKAMA-CKDSM.
2.       MWISHO WA KUKUSANYA NA KUPOKEA FEDHA NI TAREHE 31 DESEMBA, 2014. MUHIMU, BAADA YA MUDA ULIOPANGWA HATUTAPOKEA MCHANGO.
3.       IDADI NA ORODHA YA WANACHAMA WATAKAOSHIRIKI ITUMWE MAPEMA KABLA YA TAREHE 05 DESEMBA, 2014 KWA AJILI YA KUFANIKISHA MAANDALIZI. MAJINA YA WAHADIRI YABAINISHWE KWA KUTENGANISHWA.
4.       MADA ZITUMWE KABLA YA TAREHE 05 DESEMBA KATIKA BARUA PEPE ZIFUATAZO:
         BARUA PEPE YA ;
v  CHAWAKAMA KANDA- chawakama2004@yahoo.com
v  CHAWAKAMA CKDSM (UDSM) chawakamaudsm@gmail.com
5.       TAARIFA NYINGINE KUHUSU MAANDALIZI YA KONGAMANO ZITAPATIKANA KATIKA BARUA PEPE YA CHAWAKAMA KANDA NA PIA KATIKA BLOGI YA CHAWAKAMA CKDSM AMBAYO NI;                                                                                     
                               ( www.chawakamaudsm.bogspot.com)
6.       TAREHE 05/01/2015 KUTAKUWA NA UHAKIKI WA MAJINA YOTE YA WASHIRIKI AMBAYO YANAPASWA KUTUMWA YAKIWA NA SAIZI YA FULANA NA PICHA NDOGO KWA AJILI YA VYETI.
7.       KUTAKUWEPO NA KIKAO CHA VIONGOZI WOTE WA MATAWI, KANDA NA AFRIKA MASHARIKI TAREHE 21/02/2015 KITAKACHOFANYIKA KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM LENGO LIKIWA NI KUJADILI MSTAKABADHI WA CHAMA NA KATIBA. KWA WALE VIONGOZI WA MATAWI WAJIANDAE KWANI KILA KIONGOZI ATAGHARAMIWA NA TAWI LAKE.

1 comment:

  1. suza tunategemea kushiriki wanachama ( 30) wanafunzi na walimu 3

    ReplyDelete