Kurasa Muhimu

Saturday, June 14, 2014


Viongozi wa CHAWAKAMA-CKDSM 2014/2015 katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa TATAKI Dk. Mosha ambaye pia ni mlezi wa chama hiki.


Wahitimu wa CHAWAKAMA-CKDSM 2014 wakiwa katika picha pamoja na Mkurugenzi wa TATAKI Dr. Mosha ambaye pia ni Mlezi wa chama, baada ya kutunukiwa vyeti vyao vya uanachama.



UONGOZI MPYA WA CHAWAKAMA.

Baadhi ya viongozi wapya wa CHAWAKAMA- CKDSM 2014/2015  wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Malcelino Dee(Mahazini Msaidizi), Mgata Visa(Katibu Mkuu), Athanas Barnaba(Mwenyekiti), Sarah Uvumbe(Makamu Mwenyekiti) na Joel Nkoma(Mhariri Mkuu)