Kurasa Muhimu

Thursday, January 23, 2014

 TANGAZO TANGAZO
1) UONGOZI WA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA KUPITIA TAWI LA CHAWAKAMA CKD UNAPENDA KUWATAARIFU WANACHAMA WOTE KWAMBA:
  • MICHANGO KWA AJILI YA GHARAMA ZA KONGAMANO ITAENDELEA KUKUSANYWA HADI TAREHE 14 FEBRUARI 2014.
  • NAOMBA MUDA WA MAKATAA UZINGATIWE ILI KUEPUKA USUMBUFU WA KUPATA HUDUMA PINDI KONGAMANO LITAKAPOKUWA LIKIENDELEA.
  • KWA YEYOTE ANAYEHITAJI MAELEZO ZAIDI AWASILIANE NA UONGOZI KUPITIA NAMBA ZILIZOORODHESHWA KATIKA TANGAZO LA AWALI.
  • KWA YEYOTE MWENYE MADA PIA ANAWEZA KUIWASILISHA KWA UONGOZI KUPITIA NAMBA ZILIZOSISITIZWA AWALI, PIA UNAWEZA KUTUMA KUPITIA BARUA PEPE YETU, chawakamaudsm@gmail.com.
  • NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA
2) KUTAKUWA NA KONGAMANO KUHUSU KISWAHILI NA FURSA ZAKE KATKA AJIRA DUNIANI, BAVIKITA WAKISHIRIKIANA NA TATAKI, ITV RADIO&TV, TBC 1, GAZETI LA TABIBU NDIO WAANDAAJI WA KONGAMANO HILI. 
  • CHONDE CHONDE KWA YEYOTE AMBAYE NI MDAU HAUSHI WA LUGHA ADHIMU YA KISWAHILI FIKA UBORESHE NA KUONGEZA KILE ULICHONACHO KUHUSU TUNU HII KATIKA AJIRA.
  • LITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAR. 25/01/2014 YOMBO 4, KUANZIA SAA 03:00 Asubuhi hadi saa 08:00 Mchana. NYOTE MNAKARIBISHWA.

3) FULANA ZA CHAWAKAMA KWA TAWI LETU LA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM, ZIPO SOKONI  HIVYO KAMA UNAHITAJI WASILIANA NA UONGOZI KUPITIA NAMBA ZILIZOORODHESHWA KATIKA TANGAZO LA AWALI LA KONGAMANO LA TANGA. 
  AHSANTENI
 WENU MHARIRI 
       CHAWAKAMA-CKD

Tuesday, January 7, 2014

     KONGAMANO!                                    
UONGOZI WA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA UNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA KONGAMANO LA SITA (6) LA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA LITAFANYIKA KATIKA CHUO KIKUU CHA ECKERNFORDE MKOANI TANGA TAREHE 26 FEBRUARI, 2014 HADI 29 FEBRUARI, 2014.
KONGAMANO LITAHUSISHA YAFUATAYO:
Ø  KUWASILISHA MADA NNE, MADA YA MWISHO ITAWASILISHWA UFUKWENI ALIKOKUWA AKIUZIA VITABU HAYATI SHABAN ROBERT.
Ø   TUTATEMBELEA NYUMBANI KWAKE, ALIKOZIKWA NA MAKTABA YA VITABU VYAKE ILIYOFUNGULIWA HIVI KARIBUNI.
Ø  TUTATEMBELEA MAENEO YA MAKUMBUSHO PANGANI NA AMBONI.
Ø  KUTAKUWA NA WASANII; MRISHO MPOTO, MZEE MAJUTO NA KIKUNDI KIMOJA CHA TAARBU.
Ø   MBUNGE WA MONDULI MHE. EDWARD LOWASSA, VIONGOZI WA KISERIKALI, MANGULI WA LUGHA KISWAHILI NA VYOMBO VYA HABARI PIA WATAKUWEPO.
Ø  TUNATEGEMEA PIA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA USAFI MJINI TANGA KAMA ILIVYO UTAMADUNI WAO.
GHARAMA ZA JUMLA ZA KONGAMANO NI SH. 56000/=
*      CHAKULA KWA SIKU NNE SH. 20500/=
*      MALAZI                                        SH. 10000/=
*      CHETI                                             SH. 6000/=
*      FULANA                                        SH. 12000/=
*      SAFARI ZA NDANI                     SH. 7500/=
TANBIHI:
ü  KILA MWANACHAMA ATAJITEGEMEA NAULI YA KWENDA NA KURUDI.
ü  GHARAMA ZA KONGAMANO ZITOLEWE MAPEMA ILI KULETA UFANISI.
ü  MWISHO WA KUPOKEA FEDHA NI TAR. 10/01/2014. BAADA YA HAPO UONGOZI HAUTOPOKEA MCHANGO WOWOTE.
ü  WANACHAMA MNAOMBWA KUTUMA MADA KABLA YA TAREHE 05/01/2014.

LIPA KWA MHARIRI UDSM, SIMU NA. 0757487481.
KAULI MBIU:





“MIAKA 52 YA UHURU, KISWAHILI TUNU YA KIJANA KWA MAENDELEO ENDELEVU”
KWA MAWASILIANO
PIGA SIMU: 0654-871538
                      : 0765-296901