Kurasa Muhimu

Thursday, January 23, 2014

 TANGAZO TANGAZO
1) UONGOZI WA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA KUPITIA TAWI LA CHAWAKAMA CKD UNAPENDA KUWATAARIFU WANACHAMA WOTE KWAMBA:
  • MICHANGO KWA AJILI YA GHARAMA ZA KONGAMANO ITAENDELEA KUKUSANYWA HADI TAREHE 14 FEBRUARI 2014.
  • NAOMBA MUDA WA MAKATAA UZINGATIWE ILI KUEPUKA USUMBUFU WA KUPATA HUDUMA PINDI KONGAMANO LITAKAPOKUWA LIKIENDELEA.
  • KWA YEYOTE ANAYEHITAJI MAELEZO ZAIDI AWASILIANE NA UONGOZI KUPITIA NAMBA ZILIZOORODHESHWA KATIKA TANGAZO LA AWALI.
  • KWA YEYOTE MWENYE MADA PIA ANAWEZA KUIWASILISHA KWA UONGOZI KUPITIA NAMBA ZILIZOSISITIZWA AWALI, PIA UNAWEZA KUTUMA KUPITIA BARUA PEPE YETU, chawakamaudsm@gmail.com.
  • NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA
2) KUTAKUWA NA KONGAMANO KUHUSU KISWAHILI NA FURSA ZAKE KATKA AJIRA DUNIANI, BAVIKITA WAKISHIRIKIANA NA TATAKI, ITV RADIO&TV, TBC 1, GAZETI LA TABIBU NDIO WAANDAAJI WA KONGAMANO HILI. 
  • CHONDE CHONDE KWA YEYOTE AMBAYE NI MDAU HAUSHI WA LUGHA ADHIMU YA KISWAHILI FIKA UBORESHE NA KUONGEZA KILE ULICHONACHO KUHUSU TUNU HII KATIKA AJIRA.
  • LITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAR. 25/01/2014 YOMBO 4, KUANZIA SAA 03:00 Asubuhi hadi saa 08:00 Mchana. NYOTE MNAKARIBISHWA.

3) FULANA ZA CHAWAKAMA KWA TAWI LETU LA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM, ZIPO SOKONI  HIVYO KAMA UNAHITAJI WASILIANA NA UONGOZI KUPITIA NAMBA ZILIZOORODHESHWA KATIKA TANGAZO LA AWALI LA KONGAMANO LA TANGA. 
  AHSANTENI
 WENU MHARIRI 
       CHAWAKAMA-CKD

No comments:

Post a Comment