KONGAMANO!
UONGOZI WA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA UNAPENDA
KUWATANGAZIA KUWA KONGAMANO LA SITA (6) LA
CHAWAKAMA KANDA YA
TANZANIA LITAFANYIKA KATIKA CHUO KIKUU CHA ECKERNFORDE MKOANI TANGA TAREHE 26
FEBRUARI, 2014 HADI 29 FEBRUARI, 2014.
KONGAMANO LITAHUSISHA YAFUATAYO:
Ø
KUWASILISHA MADA NNE, MADA YA MWISHO ITAWASILISHWA
UFUKWENI ALIKOKUWA AKIUZIA VITABU HAYATI SHABAN ROBERT.
Ø
TUTATEMBELEA
NYUMBANI KWAKE, ALIKOZIKWA NA MAKTABA YA VITABU VYAKE ILIYOFUNGULIWA HIVI
KARIBUNI.
Ø
TUTATEMBELEA MAENEO YA MAKUMBUSHO PANGANI NA AMBONI.
Ø
KUTAKUWA NA WASANII; MRISHO MPOTO, MZEE MAJUTO NA KIKUNDI
KIMOJA CHA TAARBU.
Ø
MBUNGE WA
MONDULI MHE. EDWARD LOWASSA, VIONGOZI WA KISERIKALI, MANGULI WA LUGHA KISWAHILI
NA VYOMBO VYA HABARI PIA WATAKUWEPO.
Ø
TUNATEGEMEA PIA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA USAFI
MJINI TANGA KAMA ILIVYO UTAMADUNI WAO.
GHARAMA ZA JUMLA ZA KONGAMANO NI SH. 56000/=
CHAKULA KWA SIKU
NNE SH. 20500/=
MALAZI SH. 10000/=
CHETI
SH. 6000/=
FULANA SH.
12000/=
SAFARI ZA
NDANI SH. 7500/=
TANBIHI:
ü KILA MWANACHAMA ATAJITEGEMEA NAULI YA KWENDA
NA KURUDI.
ü GHARAMA ZA KONGAMANO ZITOLEWE MAPEMA ILI
KULETA UFANISI.
ü MWISHO WA KUPOKEA FEDHA NI TAR. 10/01/2014.
BAADA YA HAPO UONGOZI HAUTOPOKEA MCHANGO WOWOTE.
ü WANACHAMA MNAOMBWA KUTUMA MADA KABLA YA
TAREHE 05/01/2014.
LIPA KWA MHARIRI UDSM, SIMU NA. 0757487481.
KAULI MBIU:
“MIAKA 52 YA UHURU, KISWAHILI TUNU YA
KIJANA KWA MAENDELEO ENDELEVU”
KWA MAWASILIANO
PIGA SIMU: 0654-871538
: 0765-296901
No comments:
Post a Comment