Kurasa Muhimu

Friday, April 4, 2014


Picha Na. 01 Wawasilishaji wa mada kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam Pacho na Geniva wakiwasilisha mada ya Shaban Robert ambayo pia ilirekodiwa na mwandishi wa habari wa TBC1 ndugu Victor Eliah kwa ajili ya kurushwa hewani kama kipindi katika runinga ya taifa ya TBC1. 


TANBIHI: PICHA HIZI NI MIONGONI MWA MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA KONGAMANO LA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA LILILOFANYIKA KATIKA CHUO CHA ECKERNFORDE-TANGA FEBRUARI 2014.





No comments:

Post a Comment