TANBIHI: PICHA HIZI NI MIONGONI MWA MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA KONGAMANO LA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA LILILOFANYIKA KATIKA CHUO CHA ECKERNFORDE-TANGA FEBRUARI 2014.
Friday, April 4, 2014
TANBIHI: PICHA HIZI NI MIONGONI MWA MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA KONGAMANO LA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA LILILOFANYIKA KATIKA CHUO CHA ECKERNFORDE-TANGA FEBRUARI 2014.
Thursday, January 23, 2014
TANGAZO TANGAZO
1) UONGOZI WA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA KUPITIA TAWI LA CHAWAKAMA CKD UNAPENDA KUWATAARIFU WANACHAMA WOTE KWAMBA:
- MICHANGO KWA AJILI YA GHARAMA ZA KONGAMANO ITAENDELEA KUKUSANYWA HADI TAREHE 14 FEBRUARI 2014.
- NAOMBA MUDA WA MAKATAA UZINGATIWE ILI KUEPUKA USUMBUFU WA KUPATA HUDUMA PINDI KONGAMANO LITAKAPOKUWA LIKIENDELEA.
- KWA YEYOTE ANAYEHITAJI MAELEZO ZAIDI AWASILIANE NA UONGOZI KUPITIA NAMBA ZILIZOORODHESHWA KATIKA TANGAZO LA AWALI.
- KWA YEYOTE MWENYE MADA PIA ANAWEZA KUIWASILISHA KWA UONGOZI KUPITIA NAMBA ZILIZOSISITIZWA AWALI, PIA UNAWEZA KUTUMA KUPITIA BARUA PEPE YETU, chawakamaudsm@gmail.com.
- NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA
2) KUTAKUWA NA KONGAMANO KUHUSU KISWAHILI NA FURSA ZAKE KATKA AJIRA DUNIANI, BAVIKITA WAKISHIRIKIANA NA TATAKI, ITV RADIO&TV, TBC 1, GAZETI LA TABIBU NDIO WAANDAAJI WA KONGAMANO HILI.
- CHONDE CHONDE KWA YEYOTE AMBAYE NI MDAU HAUSHI WA LUGHA ADHIMU YA KISWAHILI FIKA UBORESHE NA KUONGEZA KILE ULICHONACHO KUHUSU TUNU HII KATIKA AJIRA.
- LITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAR. 25/01/2014 YOMBO 4, KUANZIA SAA 03:00 Asubuhi hadi saa 08:00 Mchana. NYOTE MNAKARIBISHWA.
3) FULANA ZA CHAWAKAMA KWA TAWI LETU LA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM, ZIPO SOKONI HIVYO KAMA UNAHITAJI WASILIANA NA UONGOZI KUPITIA NAMBA ZILIZOORODHESHWA KATIKA TANGAZO LA AWALI LA KONGAMANO LA TANGA.
AHSANTENI
WENU MHARIRI
CHAWAKAMA-CKD
Tuesday, January 7, 2014
KONGAMANO!
UONGOZI WA CHAWAKAMA KANDA YA TANZANIA UNAPENDA
KUWATANGAZIA KUWA KONGAMANO LA SITA (6) LA
CHAWAKAMA KANDA YA
TANZANIA LITAFANYIKA KATIKA CHUO KIKUU CHA ECKERNFORDE MKOANI TANGA TAREHE 26
FEBRUARI, 2014 HADI 29 FEBRUARI, 2014.
KONGAMANO LITAHUSISHA YAFUATAYO:
Ø
KUWASILISHA MADA NNE, MADA YA MWISHO ITAWASILISHWA
UFUKWENI ALIKOKUWA AKIUZIA VITABU HAYATI SHABAN ROBERT.
Ø
TUTATEMBELEA
NYUMBANI KWAKE, ALIKOZIKWA NA MAKTABA YA VITABU VYAKE ILIYOFUNGULIWA HIVI
KARIBUNI.
Ø
TUTATEMBELEA MAENEO YA MAKUMBUSHO PANGANI NA AMBONI.
Ø
KUTAKUWA NA WASANII; MRISHO MPOTO, MZEE MAJUTO NA KIKUNDI
KIMOJA CHA TAARBU.
Ø
MBUNGE WA
MONDULI MHE. EDWARD LOWASSA, VIONGOZI WA KISERIKALI, MANGULI WA LUGHA KISWAHILI
NA VYOMBO VYA HABARI PIA WATAKUWEPO.
Ø
TUNATEGEMEA PIA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA USAFI
MJINI TANGA KAMA ILIVYO UTAMADUNI WAO.
GHARAMA ZA JUMLA ZA KONGAMANO NI SH. 56000/=





TANBIHI:
ü KILA MWANACHAMA ATAJITEGEMEA NAULI YA KWENDA
NA KURUDI.
ü GHARAMA ZA KONGAMANO ZITOLEWE MAPEMA ILI
KULETA UFANISI.
ü MWISHO WA KUPOKEA FEDHA NI TAR. 10/01/2014.
BAADA YA HAPO UONGOZI HAUTOPOKEA MCHANGO WOWOTE.
ü WANACHAMA MNAOMBWA KUTUMA MADA KABLA YA
TAREHE 05/01/2014.
LIPA KWA MHARIRI UDSM, SIMU NA. 0757487481.
KAULI MBIU:
“MIAKA 52 YA UHURU, KISWAHILI TUNU YA
KIJANA KWA MAENDELEO ENDELEVU”
KWA MAWASILIANO
PIGA SIMU: 0654-871538
: 0765-296901
Subscribe to:
Posts (Atom)